Kubeba mimba na kulea tena mimba isiyo na baba sio kazi rahisi etiiJe, ukiahirisha masomo na ukalea mimba (say 4 months) na mtoto mwaka 1 si utarudi shuleni kuendelea na masomo? Kwa hiyo unaUa mtu ili uendelee na masomo na uepukane na kulea? Hapana mtani wangu hiyo thikubaliani nayo kabithaaa
Yani me nasema kabisa mambo ya kutoa mimba hapana acheni niijaze dunia utamu wa mtoto anaujua mamaImenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.
Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓
So sad, miaka 17 tumeshampoteza
Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.
Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓
So sad, miaka 17 tumeshampoteza
[emoji91]Huyo apite huku
Mmm! Hakujawahi duniani hapa kukawepo na mimba isiyo na baba. Sema baba mhusika anapiga chenga.Kubeba mimba na kulea tena mimba isiyo na baba sio kazi rahisi etii
Ndiyo nyie huoa watoto wa shangazi zenu na kuwafanya wake!Mama yako si Ukoo wako.
UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Kweli Elimu ni muhimu sana lakini ukiangalia umri wa waathirika (kipindi cha kuvunja ungo/balehe a.k.a Foolish age)wengi kama ulivyobaini hapo juu ni changamoto kubwa sana. Katika umri huo wengi wao huwa hawapokei maonyo au hupuuzia maonyo wapewayo kwa madai eti ww umepitwa na wakati. Wao Hudhani kwamba kwa kufanya wafanyavyo ndio kukomaa kwenyewe.Kuna watu wanapendekeza elimu ya kujamiiana, (sexual education) ianze kufundishwa toka darasa la 3, waathirika wengi ni kati ya 13 hadi 18 - Pia watoto wadogo wa darasa la kwanza hadi nne wanaodanganywa na mabazazi kwa juice na pipi.
Sure mtu kama hawana uwezo au amebakwa ni bora akatoaPamoja na hilo, why isiwe halali kutoa.. haya mambo ya kutoa kwa njia sio sahihi yanacost.
Kwani mimba ndiyo inasoma? mbona vyuoni watu wanasoma na mimba zao?Kwanini unadhani
[emoji3][emoji3] usuwaze moderator atamalziaNawewe pia umefika chuo kwa uandishi huu wa LECTURE badala ya....[emoji28][emoji28] jokes
Kuzaa kuna shida gani?
Lile chuma linavotanue K kweli chamoto lazima akione na linavokatakata ndani ,wewe sio kitotoMimi nilishuhudia rafiki yangu wa kike akitoa mimba miezi sita nusu afe alikiona kifo wakati anasafishwa, unaambiwa aliita ndugu zake wote so sadi pole sana tajiri yangu.
Hii ndo ina justify uvunjaji wa sheria? Kwa nini msiishawishi wizara ya Afya waruhusu abortion nchini?Hanifer Mjanja uje huku mama.
Yaani toka nikuite ndo umekuja leo mpaka mtu kafa sasa.Hii ndo ina justify uvunjaji wa sheria? Kwa nini msiishawishi wizara ya Afya waruhusu abortion nchini?