Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
ndio mambo yalivyo kwa sasa ila bado mapema..Kenya yaongoza kwa magoli mawili...mashabiki tunaotazama mechi hii nyumbani njooni tushangilie pamoja...naskia uwanja kasarani umejaa pomoni...mashabiki wa ethiopia wamejitokeza kwel kwel....mechi inatazamwa live supersport select 1 na supersport 9 dstv
fulltime
fulltime