Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Sasa unanibishia, u think i'm making this up. Hiyo jamii ni kabila hapa Tz, wapo mkoa unaitwa babati, wanaitwa wa iraq au wambulu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ati kama hawa? These are Hebesha. Ama unataka kuthdanganya Tz mnaongea Amheric! Kenya ndio iko na Ethiopian tribes na Somalis tena wengi sana. The Oromo from Ethiopia is one of Kenyas tribes. Nyinyi mlitoa wapi Hebesha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoa umepakana na arusha kusini, na dodoma kaskazini.
Hao hao jamii ya wahabesh na wasomali look alike, sasa sijui walimigrate pande hizi au ni wa hukuhuku, i dont know. But ni jamii mojawapo ya watanzania.
You can google