AFCON 2019: Mpaka wakati huu timu zoote za Afrika Mashariki zimeshafuzu isipokuwa Tanzania...

Edit Uzi wako maana ulotaka halijatokea au hama nchi. Hakuna uwendawazimu kuliko huu wa kuombea timu yako ya Taifa ifungwe. Badilika, utakufa kwa stress
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
 
Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Ongereni wa Tanzania we so proud fo you!ila nimeshanga baadhi ya wa Tanzania hamuipendi inchi yenu yani hata timu yenu ya taifa unaiombea ifungwe!??[emoji32][emoji32][emoji32] daah kazi ipo jana Burundi nzima na wa Burundi dunia nzima tulikua tuna i sapoti Intamba Muturugamba yetu!
 
Aibu naona Mimi 🙊🙉🙈, Samahani kwa niliowakwaza na kuwakera 😜😳
 
Punga baba yako ,mbwa ww

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Mimi nami niliitwa Punga 👋 👋
 
Uganda [emoji3581]

Kenya [emoji3581]

Burundi [emoji3581]

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Mkuu Mungu gan aliokua anawaona ukasema hawafuzu nasikia mbn Tz kafuzu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda [emoji3581]

Kenya [emoji3581]

Burundi [emoji3581]

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Duh!

Nokia kitochi a.k.a mulika mwizi
 
Ongereni wa Tanzania we so proud fo you!ila nimeshanga baadhi ya wa Tanzania hamuipendi inchi yenu yani hata timu yenu ya taifa unaiombea ifungwe!??[emoji32][emoji32][emoji32] daah kazi ipo jana Burundi nzima na wa Burundi dunia nzima tulikua tuna i sapoti Intamba Muturugamba yetu!
Watanzania ni wanafiki kuliko neno unafiki...kuna wakati unaweza pata tabu kuujua utanzania wao.....
Wazowee Tu wao kila Jambo ni siasa na kuambukizana chuki bila sababu.

Nokia kitochi a.k.a mulika mwizi
 
Tayari Kenya na Uganda wamefuzu...vile vile majirani zetu wa Burundi nao wamefuzu jana...kazi kwetu sisi leo jioni tukaze buti....endapo tutashindwa kufuzu itakuwa ni aibu ya mwaka kwani mashindano mara hii yamerahisishwa kwa kuongeza wigo wa idadi ya timu shiriki na ndio maana unaona kwa mara ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki umeweza kuingiza timu tatu mpaka sasa (jambo ambalo si kawaida).....
Ulimaliza shule lini wewe..? African Mashariki ina nchi 6, Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi, Rwanda na Sudan Kusini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongereni wa Tanzania we so proud fo you!ila nimeshanga baadhi ya wa Tanzania hamuipendi inchi yenu yani hata timu yenu ya taifa unaiombea ifungwe!??[emoji32][emoji32][emoji32] daah kazi ipo jana Burundi nzima na wa Burundi dunia nzima tulikua tuna i sapoti Intamba Muturugamba yetu!
Hao wanaoiombea nchi ifungwe wote hawana marinda ni mapunga wa mabeberu
 
Uganda ✔️

Kenya ✔️

Burundi ✔️

Sudani Kusini, Rwanda na Tanzania hawatafuzu kamwe, Mungu anawaona kwa jicho lingine hasa kwa madhambi na dhuruma za viongozi wa mataifa haya kwa wananchi wake.
Badili kauli au ulikuwa unakusudia Mungu yupi au DJ kawa Mungu wenu siku hizi?
 
Back
Top Bottom