chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Uganda anaweza kutoa draw na DR Congo, Zimbabwe anaweza kumfunga, yaani katika timu zote za Africa Mashariki Uganda ndio ana nafasi kubwa ya kupitaUganda? Hawezi mfunga Egypt wala DR Congo labda Zimbabwe kidogo anaweza kumchallenge
Uganda yupo pagumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
DR Congo wapo vizuri, ila jamaa wana matatizo ya kisiasa ambayo yanaweza kuathiri hata maandalizi ya timu, ujue DR Congo tuliwafunga juzi tu hapa nyumbani tena kwa 2-0?Nashangaa DR Congo wanamchukulia poa kisa Zahera atakuwepo.
Trust me, hilo kundi ni Egypt ndo ana uhakika kwa kuwa yupo Nyumbani.
Ila AFCON isingekuwa hapo halafu Egypt akutane nao wote hao, ni win win situation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbabwe wako vizuri kwa Sasa na ndo aliongoza kundi alimpiga DR Congo 3 nyumbani na kule DR Congo wakatoa sare Hawa walikuwa kundi moja kufuzuDR Congo wapo vizuri, ila jamaa wana matatizo ya kisiasa ambayo yanaweza kuathiri hata maandalizi ya timu, ujue DR Congo tuliwafunga juzi tu hapa nyumbani tena kwa 2-0?
Kama tulimfunga, Uganda nae ana nafasi ya kumfunga au angalau kutoka nae sare, akimfunga na Zimbabwe hapo anakuwa na angalau point 4 ambazo anaweza ku qualify kama best loser
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona Congo kawekwa kwenye pot 2 (second best) na Zimbabwe kawekwa pot 4 ya vilaza?Zimbabwe wako vizuri kwa Sasa na ndo aliongoza kundi alimpiga DR Congo 3 nyumbani na kule DR Congo wakatoa sare Hawa walikuwa kundi moja kufuzu
Yaani hapo Uganda ndo Dhaifu (in CIG voice)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kazi ya kufny kaenda kutafuta nn au hata kwny kupanga makundi kaenda kusoma mbinu za wapinzani????Kocha wa Taifa stars ameshawasili eneo la tukio upangaji wa Makundi
Amunike EmmanuelView attachment 1069817
Sent using Jamii Forums mobile app
Ports zilipangwa kutoka na matokeo ya AFCON iliyopita + ranking ya FIFASasa mbona Congo kawekwa kwenye pot 2 (second best) na Zimbabwe kawekwa pot 4 ya vilaza?
Kwa hiyo DR Congo sio mkali kiasi hicho bali ni jina tu
Na kama ni hivyo hili kundi basi lipo open kuliko nilivyodhani mwanzo, naweza kusema tukimtoa Egypt timu zote tatu zilizobaki zote zina chance almost sawa ya kumaliza nafasi ya pili maana Uganda alimaliza wa kwanza kwenye kundi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanamuona kanjibhai mjinga,mi nilishamvulia kofia[emoji23][emoji23][emoji23]muhindi Atakupasua wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaijua Congo vizuri wewe, tangu lini matatizo ya kisiasa yakaingilia soka la Kongo...DR Congo wapo vizuri, ila jamaa wana matatizo ya kisiasa ambayo yanaweza kuathiri hata maandalizi ya timu, ujue DR Congo tuliwafunga juzi tu hapa nyumbani tena kwa 2-0?
Kama tulimfunga, Uganda nae ana nafasi ya kumfunga au angalau kutoka nae sare, akimfunga na Zimbabwe hapo anakuwa na angalau point 4 ambazo anaweza ku qualify kama best loser
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutatinga 16 bora pamoja na Algeria na Senegal ila timu moja itakua best loser kati ya 4 zinazotakiwa.[emoji23][emoji23][emoji23]tuliitwaga hater hapa mmh yetu macho