Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Nashangaa DR Congo wanamchukulia poa kisa Zahera atakuwepo.
Trust me, hilo kundi ni Egypt ndo ana uhakika kwa kuwa yupo Nyumbani.
Ila AFCON isingekuwa hapo halafu Egypt akutane nao wote hao, ni win win situation.

Sent using Jamii Forums mobile app
DR Congo wapo vizuri, ila jamaa wana matatizo ya kisiasa ambayo yanaweza kuathiri hata maandalizi ya timu, ujue DR Congo tuliwafunga juzi tu hapa nyumbani tena kwa 2-0?

Kama tulimfunga, Uganda nae ana nafasi ya kumfunga au angalau kutoka nae sare, akimfunga na Zimbabwe hapo anakuwa na angalau point 4 ambazo anaweza ku qualify kama best loser

Zimbabwe wako vizuri kwa Sasa na ndo aliongoza kundi alimpiga DR Congo 3 nyumbani na kule DR Congo wakatoa sare Hawa walikuwa kundi moja kufuzu
Yaani hapo Uganda ndo Dhaifu (in CIG voice)

Sasa mbona Congo kawekwa kwenye pot 2 (second best) na Zimbabwe kawekwa pot 4 ya vilaza?

Kwa hiyo DR Congo sio mkali kiasi hicho bali ni jina tu

Na kama ni hivyo hili kundi basi lipo open kuliko nilivyodhani mwanzo, naweza kusema tukimtoa Egypt timu zote tatu zilizobaki zote zina chance almost sawa ya kumaliza nafasi ya pili maana Uganda alimaliza wa kwanza kwenye kundi pia

Ports zilipangwa kutoka na matokeo ya AFCON iliyopita + ranking ya FIFA
Ndo maana DR Congo alikuwa port 2
Umeona hata sisi Uganda Aliongoza group lakini alikuwa Port 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wabongo,hatuna matumaini,yaani tumekata tamaa kabisa,tumekuwa dhaifu yaani hatujikubali,tumekuwa watu tusiojiamini!
Tumesahau kwamba kujiamini ndo siraha kubwa ktk mapambano,hii si nzuri
Ni heri KUFA kuliko kujitia unyonge
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tuliitwaga hater hapa mmh yetu macho
 
DR Congo wapo vizuri, ila jamaa wana matatizo ya kisiasa ambayo yanaweza kuathiri hata maandalizi ya timu, ujue DR Congo tuliwafunga juzi tu hapa nyumbani tena kwa 2-0?

Kama tulimfunga, Uganda nae ana nafasi ya kumfunga au angalau kutoka nae sare, akimfunga na Zimbabwe hapo anakuwa na angalau point 4 ambazo anaweza ku qualify kama best loser

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaijua Congo vizuri wewe, tangu lini matatizo ya kisiasa yakaingilia soka la Kongo...

Tanzania ina miaka zaidi ya 30 bila kufuzu afcon na wakati haina machafuko ya kisiasa wakati Congo takriban kila mashindano ya afcon IMO. Utakuwa umepata kitu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tuliitwaga hater hapa mmh yetu macho
Tutatinga 16 bora pamoja na Algeria na Senegal ila timu moja itakua best loser kati ya 4 zinazotakiwa.
 
Back
Top Bottom