Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Kumekucha

Upangaji tu namna hii je ufunguzi si balaa
Kweli mpira pesa umaskini unaathiri hadi uwezo wa kufikiri
 
Wenzetu wakipewa mashindano hata ya kuku kuyaandaa wanajipanga, hata siku FIFA ikisema iwape waandae world cup hawasiti,

Sasa sisi afcon ya vijana tupo kimya kimya utadhan ni ndondo cup

Yohana 3:16
 
Yaan mkuu acha tu,kuna shida mahala na wakuliona hilo shida hayupo hata sijui aliendaga wap!?

Sent from Nokia 7 Plus
 
Back
Top Bottom