Hapana, ila kuna English translation..
Imagine Egypt wamejiandaa kwa miezi 4 tu baada ya Cameroon kupokwa Sasa sisi tangu 2017 tulikuwa tunajua sisi ndo wenyeji
ha ha bora hata ndondo cup yule chief wa kauzu hua analeta amsha amshaWenzetu wakipewa mashindano hata ya kuku kuyaandaa wanajipanga, hata siku FIFA ikisema iwape waandae world cup hawasiti,
Sasa sisi afcon ya vijana tupo kimya kimya utadhan ni ndondo cup
Yohana 3:16
Yaan mkuu acha tu,kuna shida mahala na wakuliona hilo shida hayupo hata sijui aliendaga wap!?Wenzetu wakipewa mashindano hata ya kuku kuyaandaa wanajipanga, hata siku FIFA ikisema iwape waandae world cup hawasiti,
Sasa sisi afcon ya vijana tupo kimya kimya utadhan ni ndondo cup
Yohana 3:16
Inapendeza sana lakini mwisho wa siku utaambiwa ni lugha ya Kenya.Hahaa
Yohana 3:16
No Hurry in Africa, huku kwetu mdogo mdogo ndio mwendo wacha tupate burudani..
Sawa sawa mkuu nasbria utupie
Hao ni kutoka Senegal.Simba wa Teranga
Wametusaidia kwenye kuutangaza..
Nina matatizo nawewe makubwa sana😟😣Hao ni kutoka Senegal.