Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Shauri yako.Nina matatizo nawewe makubwa sana😟😣
Hao ni wachambuzi wa mcheleWachambuzi wengi wanasema Egypt ndio favorite wa kuwa bingwa AFCON 2019
Sent using Jamii Forums mobile app
Cameroon Ni ntemitable Lions " Simba wasiofugika".Hao ni kutoka Senegal.
Unajikuta bata mimi ni nyoka.😣Shauri yako.
Hahaaaaaaa
Poa.. msisite kutoa updates, wengine tupo gizani, halafu wageni wa Afcon ya vijana wapo twn wanashuhudia utalii waku kata kata umeme.