Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Sio Sana Kama la Uganda aiseeTanzania kundi lake gumu sana aisee! Ila kuna watu ambao hawajui mpira watasema kapata mchekea kudadadeki magoli nane yapo nje nje
Hapa lazima tujipange tutoe ushindani tusiishie kuwa washiriki tu hasa hapo kwa mwarabu na kina Mane kukaza lazima maana shughuli nzito aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23] Algeria sio wakali sana Kama Kipindi kile walitupiga 7
Kwenye kundi letu nani tunauwezo wakumfunga yani angalau 20%
Acha kulalamika, ulitaka tupewe kundi gani au timu gani.. Draw imechezeshwa wazi kilichobaki ni kupambana tu hakuna namna..
Hilo ndio la muhimu kutengeneza pesa,haya mengine blabla tu...hata hivyo timu yetu itabidi ikaze kweli.Safiii hapo ni mwendo wa3+ & both team to score no. Lazma gamblers tutajirike.
Hili ndo kundi la kifo Sasa Moto utawakaKundi la Morocco Ivory coast na south Africa ndo kundi gumu na baya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] sijui n nan katuweka na haya majamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]muhindi Atakupasua weweSafiii hapo ni mwendo wa3+ & both team to score no. Lazma gamblers tutajirike.
Hapo sijui timu gani ya kuifunga, siioniAcha kulalamika, ulitaka tupewe kundi gani au timu gani.. Draw imechezeshwa wazi kilichobaki ni kupambana tu hakuna namna..