Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Tutapita tu tukimpa timu mwenyekiti wetu wa uhamasishaji mh Makonda[emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safiii hapo ni mwendo wa3+ & both team to score no. Lazma gamblers tutajirike.
Hilo ndio la muhimu kutengeneza pesa,haya mengine blabla tu...hata hivyo timu yetu itabidi ikaze kweli.
 
Back
Top Bottom