Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Anatubomoaga always hatuna historia nzuri na wale jamaa wako vizuri kifiziki kuliko sisi
Mkuu hawa miamba yaani mwarabu na Senegal wenye uzoefu wa michuano na wachezaji nyota kuna uwezekano wa suluhu? Au nikuulize si kuna matumaini ya kupata pointi angalau moja kwa mmoja wapo?
 
Kundi zuri, nilikuwa naogopa tu kuwa kundi moja na mwenyeji.....Kama tulikuwa tunataka Afcon hatuna budi kujipanga vizuri na Kocha kuchagua wachezaji sahihi
 
Ila hawa CAF wanampango gani na sisi kwa nini tunatokea nyuma shiti tungepangwa juu huku mwishoni tena aaagh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…