Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Mane Akija AFCON anacheza Chini ya kiwango. .Hakuna cha kuogopa...wachezaji wakapiganie Taifa..wote tuko neutral ground..
 
Senegel atatupiga mkono,

Algeria atatupiga 4

Kenya atatupiga 3 au 2
 
Kwangu n A
Screenshot_2019-04-12-23-25-53.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua kuwa watanzania wengi hatujiamini hasa linapokuja suala la kushindana na mataifa mengine siyo tu kwenye soka bali pia hata mambo mengine. Inawezekana ndio maana tunaongoza kuwa na watu wengi ambao hawana furaha ya maisha duniani. CHOCHOTE KINAWEZA KUTOKEA KWA TIMU YETU EITHER KUFUNGA AU KUFUNGWA AU KUSULUHU. CHA MSINGI NI MAANDALIZI NA KUJIAMINI KWAMBA TUNAWEZA NDIO MAANA TUMEFUZU KWENDA AFCON 2019 EGYPT. KUTOJIAMINI HUWA NDIO CHANZO KIKUU CHA KUSHINDWA KATIKA JAMBO LOLOTE LILE!
 
Kitu pekee watanzania tukipasacho kufanya ni kuomba tusianze game yetu na senegal.

Tutapokea kichapo ambacho tutakata tamaa hata mechi zijazo kuzicheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom