Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi mwenyewe jamaaa kanichekesha kinoma aiseeUnamaanisha nini Mkuu Hahahahahahahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inapendeza sana lakini mwisho wa siku utaambiwa ni lugha ya Kenya.
Yes. Mpira mipangoMechi ya Kwanza Ni muhimu kuwazuia Senegal if possible sare inatosha
Tanzania vs Senegal
June 22
Sent using Jamii Forums mobile app
Amunike anatoboa hao jamaa wamebaki majina tu
Hii ni ramli chonganishi acha hizo bhanaSenegel atatupiga mkono,
Algeria atatupiga 4
Kenya atatupiga 3 au 2
Kundi la burundi dah!
Kama tulivyo wa kwanza kupangwa ndivyo tutakavyokuwa wa kwanza pia kutoka.Kundi c litabaki kama lilivo