Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hili tutoboe hili kundi, NUSU BEI ianzie kesho mpk kufika June tuwe na uhakika wa kupita[emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara nyingi wakubwa huanza.Kitu pekee watanzania tukipasacho kufanya ni kuomba tusianze game yetu na senegal.
Tutapokea kichapo ambacho tutakata tamaa hata mechi zijazo kuzicheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo ndo ukweli... angalau wangetuletea Burundi zimbabwe na madagascar dadadekii..... tungetoboaHii ni ramli chonganishi acha hizo bhana
Nimetamani tu Amunike akutane na nchi yake tuone.Unataka kulia au 😇😀😁😂
At least tuondoke na point 3 mkuu,na kupunguza idadi ya magoli.hatuna cha kupoteza.
lengo letu limeshatimia!
KUFUZU!
Mengine hayapo Ktk strategic plan!
Mkuu kwani hatuna beki za kuzuia hao vichomi?Mkuu huo ndo ukweli... angalau wangetuletea Burundi zimbabwe na madagascar dadadekii..... tungetoboa
Lakini kwa Sadio mane mmmh!!! Riyad mahrez maweeeee.....!!!! Wanyama hiiiii.....!!!!
hilo Group F ni balaa tupu,Angalia hayo makundi yalivyo then unaona lipi lingekuwa nafuu hapo.View attachment 1070023
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee watanzania tukipasacho kufanya ni kuomba tusianze game yetu na senegal.
Tutapokea kichapo ambacho tutakata tamaa hata mechi zijazo kuzicheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawa waarabu waliocheza world cup kibao ndio wabovu
Na sisi jezi zetu ndio zile zilivuja?Timu ya Taifa ya Cameroon tayari imezindua jezi zake mpya kwa ajili ya AFCON 2019View attachment 1069465
Sent using Jamii Forums mobile app
Misri kapendelewa bhana