Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Mpira unadunda kwa ambaye Haujui Lakini kwa wanaojua wanaupeleka wanavyotaka wao
 
Hili tutoboe hili kundi, NUSU BEI ianzie kesho mpk kufika June tuwe na uhakika wa kupita[emoji28]

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ramli chonganishi acha hizo bhana
Mkuu huo ndo ukweli... angalau wangetuletea Burundi zimbabwe na madagascar dadadekii..... tungetoboa

Lakini kwa Sadio mane mmmh!!! Riyad mahrez maweeeee.....!!!! Wanyama hiiiii.....!!!!
 
hatuna cha kupoteza.
lengo letu limeshatimia!
KUFUZU!
Mengine hayapo Ktk strategic plan!
 
Mkuu huo ndo ukweli... angalau wangetuletea Burundi zimbabwe na madagascar dadadekii..... tungetoboa

Lakini kwa Sadio mane mmmh!!! Riyad mahrez maweeeee.....!!!! Wanyama hiiiii.....!!!!
Mkuu kwani hatuna beki za kuzuia hao vichomi?
 
Hakuna kundi la kifo hapo, ila kundi C ni jepesi sana kwa Senegal na Algeria.

Sisi tutabaki mwisho tu.
 
Back
Top Bottom