AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
Ndio mambo yalivyo kwenye michuano ya kufuzu katika kombe la barani afrika (African Cup of Nations) inayoandaliwa nchini Cameroon..
Tazama magoli yote tatu hapa

Kwingineko, Misri imeilaza Swaziland mabao manne kwa moja 4-1

Nigeria Super Eagles wanahitaji ushindi dhidi ya Libya ili kufuzu.
Timu ya soka Afrika Kusini almaarufu Bafana Bafana wanajitayarisha kucheza na Seychelles hapo kesho
Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars itacheza na Ethiopia Jumapili katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi...Kenya inahitaji ushindi Jumapili ili kufuzu. Itakuwa ndio mara ya kwanza kufuzu katika kongamano hilo kwa miaka 14...as a result, there is a lot at stake
 
nlishasema siwezi kupoteza mda wangu naangalia kichwa cha mwenda wazimu si kila kitu hatuwez, leo kuna uzi uliandika wacheza hawapo kwenye mood kisa kutoweka kwa Mo ko ata uwanjani hawako fit, sasa timu mbovu atawachezaji wakiwa fit watamfunga nani
 
Ilitakiwa sub ya mapema sana Hakuna goli tulofungwa la shambulizi ila mipila iliyo kua inaelea langon ni uzembe wa mabeki wa Kati mi hata nikiliangalia goli la 3manula anahusika
 
Naona hadi Sonko amemwaga usafiri bure hadi stadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…