Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Ndio mambo yalivyo kwenye michuano ya kufuzu katika kombe la barani afrika (African Cup of Nations) inayoandaliwa nchini Cameroon..
Tazama magoli yote tatu hapa
Kwingineko, Misri imeilaza Swaziland mabao manne kwa moja 4-1
Nigeria Super Eagles wanahitaji ushindi dhidi ya Libya ili kufuzu.
Timu ya soka Afrika Kusini almaarufu Bafana Bafana wanajitayarisha kucheza na Seychelles hapo kesho
Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars itacheza na Ethiopia Jumapili katika uwanja wa Kasarani jijini Nairobi...Kenya inahitaji ushindi Jumapili ili kufuzu. Itakuwa ndio mara ya kwanza kufuzu katika kongamano hilo kwa miaka 14...as a result, there is a lot at stake