AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

Ilitakiwa sub ya mapema sana Hakuna goli tulofungwa la shambulizi ila mipila iliyo kua inaelea langon ni uzembe wa mabeki wa Kati mi hata nikiliangalia goli la 3manula anahusika
wachezaj wetu yaani nguvu hawana na akili ya mpira pia hawana kabisaa....najiuliza hawawaoni wenzetu wanavyofanya?
 
Tanzania mna mzaha sana kwa spoti. Hata serikali haina ministry of sports.. Hamjui vile kuna hela kwa hii sector ama nini? Tena michezo huleta sifa nzuri na tele kwa nchi
Mjiangalie, Mfikirie Mbadilishe
Jiambie na ujijibu kwa niaba ya nchi yako Tanzania.,
 
Waswahili walijigamba sana kuwa wangeenda na mwewe wao, dirimulaina, ya taifa na kuwafunga Cape Verde. Ghafla tukaskia hakuna uwanja unaotosha kutua hilo pipa[emoji16] . Leo ni kipigo 3-0 kubalini tu mpira ni sayansi siyo makelele na majigambo meengi kama waziri wa michezo tz alivyokuwa anatamba!![emoji275] [emoji113]
 
Alafu tukibeba hii kitu mtafute ile pic ya ule fan wa Simba akilia after kutandikwa na Gor tutese kiasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀yaani wamelishwa magoli mpaka huzuni..tayari wametupwa nje katika michuano ya kufuzu...anyway, naskia 50 million is up for grabs hapo Jumapili...Harambee Stars wasije wakatuabisha...Naomba wakenya wajitokeze kwa wingi ili kushangilia akina wanyama na olunga #JazaStadi
 
Nilipo sikia tu kua cape Verde haina uwanja wa kutua mwewe wetu nkajua tayari tushalala hapa watu ml50+ tunafungwa na kinchi cha kushindana na Zanzibar sisi tunachokiweza ni figisu za sihasa na kusifiana tu shenzi kabisa
 
😀😀yaani wamelishwa magoli mpaka huzuni..tayari wametupwa nje katika michuano ya kufuzu...anyway, naskia 50 million is up for grabs hapo Jumapili...Harambee Stars wasije wakatuabisha...Naomba wakenya wajitokeze kwa wingi ili kushangilia akina wanyama na olunga #JazaStadi
Stars bado aija toka wewe
 
Watu mnao sema cape verde ni ka nchi kadogo kwa hiyo ilibidi tukafunge mnakosea, mpira una enda mbali zaidi ya hapo. Kama ndiyo hivyo china ilibidi iwe inabeba world cup kila siku.
 
😀😀yaani wamelishwa magoli mpaka huzuni..tayari wametupwa nje katika michuano ya kufuzu...anyway, naskia 50 million is up for grabs hapo Jumapili...Harambee Stars wasije wakatuabisha...Naomba wakenya wajitokeze kwa wingi ili kushangilia akina wanyama na olunga #JazaStadi
Nilikua nahisi una ufahamu kuhusu ball kumbe ni mweupe! Umetumia kigezo gani ku conclude Tz imeshatupwa njee! Nahisi ata hujui msimamo wa kundi ulivyo unaropoka tu
 
Back
Top Bottom