AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

AFCON 2019: Timu ya taifa ya Cape Verde yailaza Tanzania magoli matatu kwa bila 3-0 XD

Sisi tunaweza Bongo Fleva tu, labda na Bongo Movies... Nadhani serikali iwekeze huko...
Wabongo bana.....kila kitu wanatupiwa nje nje
Haya tusubiri jumapili na sisi tusije kuaibishwa nyumbani.
 
Ifikie hatua hawa wachezaji wa Taifa Stars wawe na walau elimu ya chuo maana naona wengi ni vilaza hata kuelewa waambiwacho ni kazi ngumu sana.


Michezaji haina uchungu na taifa kazi kuchekacheka kama malaya kwenye ndege na vipicha vya kinafiki, mbwa koko nyie tuwafuge vipi ili mjue tuna hamu na ushindi kila siku mnatudanga tu.


Mbwa.
nakubaliana na wewe hundred percent.....itabidi elimu iwe kigezo pia maana kipaji peke yake bila akili kichwani utamfunga nan?....manake team zote mbili ni wachezaji wenye vipaji...lakini tunafungwa kwa kuzidiwa maarifa...na ndo maana mwanafunzi mwenye uwezo anaweza kufeli kutokana na kukosamaarifa ya jinsi ya kusoma
 
Matokeo ya watu ambao huishi na kufikiria kuhusu mlo tu kila wakati huku wakijigamba eti wanalisha wengine.
Huwezi cheza soka uwanjani akili zako zikiwa kwa chakula utafeli bhana.
Tatu bila😂😂😂😂 nchi ya walaji chakula kizuri. Endeleeni kula. Pia hicho ni kipaji 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom