Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Bonjour wakuu,
Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana na gonjwa la UVIKO-19 Ila sio wale waliopo bungeni š unaosababishwa na virusi vya Corona. Hivyo CAF ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la TATALAFCON 2021.
Pia kutokana na UVIKO-19, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 28 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.
Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi ya CAMERON ambayo kwa Sasa kisoccer inaongozwa na mkongwe Samuel Eto'o Fil. Ambaye kwa namna moja au nyingine ameichangamsha michuano hii kwa kuwazodoa, kuwachamba na kuwapasha wanaobeza, kuponda na kudhihaki michuano hii hasa raia/timu wa/za bara la ulaya ambao walitaka kuwazuia baadhi ya wachezaji wao wasije katika michuano hii mikubwa katika ngazi ya Mataifa, hivyo kuchaguliwa kwake kama raisi wa FECAFOOT mnamo 11 Desemba 2021 imekuwa kama baraka kwa waCameron na waAfrica kuing'arisha michuano hii.
Group B: Guinea, Malawi, Senegal, Zimbabwe
Group C: Comoros Islands, Gabon, Ghana, Morocco
Group D: Egypt, Guinea Bissau, Nigeria, Sudan
Group E: Algeria, Equatorial Guinea, Ivory Coast, Sierra Leone
Group F: Gambia, Mali, Mauritania, Tunisia.
BROADCASTERS
DSTV
-SuperSportpsl
STARTIMES
-World Footbal
AZAMTV
-Utv
-ZBC2
Binafsi timu ninayo shabikia ni Algeria
Timu mbili au moja kati ya hizi mbili zitaingia fainali Senegal &/ Algeria.
Sema chochote, Ongezea lolote , share popote na changia chochote ambacho ni sahihi na chenye staha.

AFCON 2021 groups
Group A: Cameroon (hosts), Burkina Faso, Cape Verde Islands, EthiopiaGroup B: Guinea, Malawi, Senegal, Zimbabwe