Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #41
Tatzo la Camera chache mm pia nimeliona. Pia wanachukua muda mrefu Sana kufanya maanmuzi.Cameroun vs Bukinafaso. Second half ndio imeanza cameroon wanaongoza kwa mabao 2-1.
Bukinabe walitangulia then Cameroon wakasawazisha kwa mkwaju wa penalt kabla ya kupewa mkwaju mwingi wa penalt. Penalt zote kapiga le captain wao.
Nimeshindwa kuelewa kwa nini VAR iliyotoa penalt ya kwanza wametumia picha ya camera moja tu? Hii inaonyesha uwanjani kuna uhaba wa camera.
Binafsi naona WaCameron watashinda.