Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #41
Tatzo la Camera chache mm pia nimeliona. Pia wanachukua muda mrefu Sana kufanya maanmuzi.Cameroun vs Bukinafaso. Second half ndio imeanza cameroon wanaongoza kwa mabao 2-1.
Bukinabe walitangulia then Cameroon wakasawazisha kwa mkwaju wa penalt kabla ya kupewa mkwaju mwingi wa penalt. Penalt zote kapiga le captain wao.
Nimeshindwa kuelewa kwa nini VAR iliyotoa penalt ya kwanza wametumia picha ya camera moja tu? Hii inaonyesha uwanjani kuna uhaba wa camera.
Ndo Chama Langu mkuu, π€Algeria wanatetea hili kombe. Wachezaji wao ni tofauti na hawa mabishow wa Senegal, Nigeria, Ivory coast na Ghana.
Michezaji yao inayocheza ulaya inajiona mijanjaaah kumbe bure kabisa.
Waarabu ndio wanajua nini cha kufanya yani kazi kazi
Sema kitu bingwa
Sisi SimbA rangi Njano/Kijani kwetu n mwiko,Rangi sio issue.
Hawamo mkuu, π€Taifa Stars lini?
really!!!?πTaifa Stars lini?
Mkuu mjibu tu, usimpuuzereally!!!?π
Mitano Tena, CCM wangetupigia kelele sanareally!!!?π
Hii unaweza ukaona afcon?DSTV wana 9900
Hii unaweza ukaona afcon?
Sisi SimbA rangi Njano/Kijani kwetu n mwiko,
kuanzia kifurushi cha DStv Bomba.Hii unaweza ukaona afcon?
ππππWe sio Simba.Simba hatuna fikra za kiutopolo kama hizo.
Wana Simba tunaangalia soka na sio urembo wa rangi.
Wee sie timu ilishashinda first leg 2-0 eti kama taifa tukaashindwa kuisafirisha timu kwenda kumaliza second leg. Akili au matopeHivi si tupishindwaje Ethiopia wakafuzu!!!??