AFCON 2021: Refa amaliza Mechi ya Mali na Tunisia, kabla ya dakika 90

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo ni refa au utopolo
 
Anastrees, lkn nmegundua waamuzi wabovu sio bongo tu na huyu Bw Sikazwe tangu dk ya 1 alikuwa anachezesha kama amelazimishwa
 
Yani refa alipitiwa na nini sijui?
Dakk 85 kapuliza kipyenga..
Watu aaaah muda badoo!! Pira likaendelea..... mara shwaa red card😳😳
Mara shwaaa dakk 89 mpira kwishney😳😳😳


Egypt vs Nigeria mipira ilikua inatoa upepo,, yaan Africa kazi tunayo
 
Huyu ni mwanachama was Kabwili fc gsm mchongo fc
 
Betting inaharibu sana mpira,
Na huyu hafanywi lolote na hizo mamalaka za mpira
 
Tumbo la kuhara lilimkuta gafla
 
Mauritania vs Gambia
Dj waletee...
Noo shika shika dj,
Dj walete Mauritania..
Ngoja dj shika kwanza..

Mauritania mtaimba akapela
Capt: No tunataka beat la ayo laizer..
Ok DJ wareteeee..
🎶🎶🎵🎵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…