AFCON 2021: Refa amaliza Mechi ya Mali na Tunisia, kabla ya dakika 90

AFCON 2021: Refa amaliza Mechi ya Mali na Tunisia, kabla ya dakika 90

Mwamuzi Jan Sikazwe toka Zambia akichezesha mchezo Kati ya Tunisia na Mali, amemaliza mchezo dakika ya 85 lakini Tunisia wakalalamika na mchezo ukaendelea, ilipofika dakika ya 89 akamaliza mchezo tena na safari hii Refa akagoma kuendelea na mchezo.

Mwamuzi huyu amewahi kusimamaishwa kuchezesha soka Kwa miaka 3 alituhumiwa kupokea hongo ili kupanga matokeo.
Hata kama ni ubovu huu wa Leo umepitiliza.

Alianza Kwa kuwanyima Mali Penati DK 58 baada ya Adama Traore kufanyiwa madhambi ndani ya 18 lakini hakutaka hata kujiridhisha Kwa VAR.
Nimeiangalia hii mechi marefa wa africa nao sijuwi wanawaza nn, aibu tupu haijawai kutokea

Kibaya zaid hakufikia hata kwenye dakika za nyongeza na mpira ulisimama sanaa, naamini atafungiwa
 
Kumbe tusiwalaumu sana kina Arajiga, Sasi na Kayoko! Waamuzi wa hovyo wapo wengi!
 
Mwamuzi Jan Sikazwe toka Zambia akichezesha mchezo Kati ya Tunisia na Mali, amemaliza mchezo dakika ya 85 lakini Tunisia wakalalamika na mchezo ukaendelea, ilipofika dakika ya 89 akamaliza mchezo tena na safari hii Refa akagoma kuendelea na mchezo.

Mwamuzi huyu amewahi kusimamaishwa kuchezesha soka Kwa miaka 3 alituhumiwa kupokea hongo ili kupanga matokeo.
Hata kama ni ubovu huu wa Leo umepitiliza.

Alianza Kwa kuwanyima Mali Penati DK 58 baada ya Adama Traore kufanyiwa madhambi ndani ya 18 lakini hakutaka hata kujiridhisha Kwa VAR.
Masikini, atakuwa kalogwa au ana mapepo.
 
Hata kadi nyekundu ile ilikuwa ya mchongo...

Hata hivyo nimefurahi kawafanyia vigisu waarabu, maana wao huwa wanaongoza kwenye hii michezo ya figisu wanapokuwa nchini mwao...
 
Inamaana hakukuwa wala kile kibao cha muda wa nyongeza?

Ila ukiwa na presha acha kabisa. Unaweza kuwa unaona vitu tofauti kabisa.

Mechi ile ngumu sana,acha achanganyikiwe.
 
Mauritania vs Gambia
Dj waletee...
Noo shika shika dj,
Dj walete Mauritania..
Ngoja dj shika kwanza..

Mauritania mtaimba akapela
Capt: No tunataka beat la ayo laizer..
Ok DJ wareteeee..
🎶🎶🎵🎵
kuna nchi hapa barani kwetu unaweza kaa mwaka mzima usisikie majina yao.
 
Kafanya mbaya ila kwasababu kafanya wakati Mali ishapata ushindi kwa waarabu minaona sawa tu.
Waarabu wanafigisu sana sasa acha nawao wakutane na mziki wa figisu wa gb milioni kumi.

Unaonekanwa ni mwanachama wa CCM, haiwezekani mtu wakawaida kufurahia Dhulma
 
Hata kadi nyekundu ile ilikuwa ya mchongo...

Hata hivyo nimefurahi kawafanyia vigisu waarabu, maana wao huwa wanaongoza kwenye hii michezo ya figisu wanapokuwa nchini mwao...
Punguza chuki mkuu
 
Back
Top Bottom