Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
Hv Bongo ni nn ambacho tunaeza jivunia nacho kwenye hii sayar?
Kiukweli kichapo cha jana nimekifuraia sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ni mengi tu, ila sio kufutia jasho Bendera ya JMT
Kufuatilia udaku hasa App ya Mange.Kwa kumalizia Hv Bongo ni nn ambacho tunaeza jivunia nacho kwenye hii sayar?
Usiombe Watanzania waje wakuombee kichapo cha aina yeyote ile.Kiukweli kichapo cha jana nimekifuraia sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwann?Jana nililala usingizi mnono
[emoji16][emoji16]Usiombe Watanzania waje wakuombee kichapo cha aina yeyote ile.
Haya mkuu, furahia tu.
Charity starts at home.
HeheheheJana nililala usingizi mnono