Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
Hii AFCON licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tusipate japo point moja lakini pia tunaweza tusifunge hata goal [emoji3]
Pia hata kama Mpira unadunda sioni nafasi ya stars kwenye hili kundi hata kidogo,kabla ya mechi waziri aliongea na wacheza Kwa masaa matatu sasa sjui mechi ijayo ataongea masaa mangapi
Kwa kumalizia Hv Bongo ni nn ambacho tunaeza jivunia nacho kwenye hii sayari?