AFCON 2024: Licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa Tanzania tusipate japo pointi moja, lakini pia tunaweza tusifunge hata goli moja

AFCON 2024: Licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa Tanzania tusipate japo pointi moja, lakini pia tunaweza tusifunge hata goli moja

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,167
Reaction score
2,591
Hii AFCON licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tusipate japo point moja lakini pia tunaweza tusifunge hata goal [emoji3]

Pia hata kama Mpira unadunda sioni nafasi ya stars kwenye hili kundi hata kidogo,kabla ya mechi waziri aliongea na wacheza Kwa masaa matatu sasa sjui mechi ijayo ataongea masaa mangapi

Kwa kumalizia Hv Bongo ni nn ambacho tunaeza jivunia nacho kwenye hii sayari?
 
Ilitakiwa yafe goli Tisa yani week na siku mbili basi tu nasikitika sana jamaa hayakufanya hivyo sijui kwani?
 
Back
Top Bottom