AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Ngoja nicheke 😂

Ukweli n kwamba nchi zote tatu zipo hoi

Morocco apewe kwa mara nyingine mfululizo mana yeye yupo serious kwenye miundombinu, au South Africa
 
Nyumbu zinatamani sababu ingetajwa ni Tanzania
 
Yule mwandishi wa Afrika Magharibi alikuwa sahihi kuonesha wasiwasi wake kuhusu utayari wa hizi nchi tatu.
Nchi zina changamoto kibao, halafu bado zinajitutumua kuhost mashindano ya michezo ya gharama kubwa sana ambayo faida zake kiuchumi ni ngumu kuelezeka.

Ujinga mtupu. Bora waondoe kabisa haya mashindano upande huu.
 
Barabara Hazina tatizo,maeneo yaliyozunguka uwanja yamefanya nini?
Barabara hazina tatizo?

Kwahiyo basi la kina Mo Salah likifika hapa lazima wachezaji washuke watembee kwa miguu.

IT0uPRA2HTfaCMIS.jpeg
 
Teh teh 😃 😃 😃 hii nchi bhana...
Waliokwamisha ni viongozi hawana vision, waziri wa michezo Makonda ni FFF top mwenyewe ni FFF mkuu wa mkoa ndiyo huyu unategemea nini.
 
What is the Cost/ Benefit Analysis of hosting these games for Tanzania?

Has anyone crunched the numbers, if at all they are available?

What is the opportunity cost?
 
Busara inatakiwa kutumika,

vinginevyo watarudisha gharama za ujenzi! Uwanja wa arusha,

Kwa maana tender notice yao ndiyo iliyotumika kuchukulia mkopo wa ujenzi wa viwanja kwenye taasisi za kifedha...

ili na wao Wasiigie hasara, WANAPASWA WASOGEZE MBELE NA SI KUHAMISHA Ama KUAIHIRISHA...Itakula kwao!.
Mkope Nyie afu gharama zirudishwe na mwngn kisa mliwatumia kama kigezo cha kukopa 😂
Kwan mlipewa tiketi ya uenyeji wa michuano au mlipewa tiketi ya kukopa pesa kujenga?

Ccm cjui mnatumia akili gani
 
Back
Top Bottom