AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

AFCON 2027: CAF huenda ikaahirisha mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Tumia akili ya kawaida tuu mkuu, ww mwnyw ukiangalia huo uwanja umekamilika kwa 74%?

Yn tumia akili ya shule ya msingi tuu.

74% unaijua kweli ww? Benjamin Mkapa wenyewe tuu Huwez kusema umekamilika kwa 100% ndo mana hata ulikuwa unafungiwa ndo uje hilo pango hapo
Mimi ni Mhandisi sio gwini kama wewe so sihitaji kuangalia Bali najua kwamba kazi kuu za substructure and superstructure zimekamikika na ndio zinabeba volume kubwa ya kazi.

Kilichobakia hapo ni finishing na pitch ,Sasa ni sawa kabisa Kwa hiyo percentage Kwa sababu pia Serikali Haina haja ya kudanganya na wadanganye Ili imfaodishe nani?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hata hapa Tanzania tutafanya maandamano makubwa wakati wa hiyo michuoano kudai miili ya wapendwa wetu tukazike, na kudai katiba mpya. Hivyo sio Kenya tu.
Utawala huu utakuwa haupo muda huo watakuwa wananyea debe The Hague.
 
SIKU ZOTE MKIONGOZWA NA RAIS MUUAJI LAZIMA KILA KITU KINAKWAMA MAANA KUUA MTU NI CHUKIZO KWA MUNGU.SAMIA AJIUZULU ILI NCHI YETU IPATE BARAKA.BILA SAMIA KUJIUZULU TUTARNDELEA KUKOSA FURSA NYINGI IKIWEMO HII YA AFCON2027
 
Mambo ya aibu haya
Hichi ni kituko cha Karne 😂
 
Wapiga ramli za kichochezi wameangukia pua.Hakukuwa na mpango wa kuahirisha au kuondoa mashindano ya Afcon 2027 haya ni kwa mujibu wa Rais wa CAF Motsepe.Rudini tena kwenye viwanda vya kupika majungu mje na uzushi mwingine.
 
Alafu naona umu na hao wadau wengine mnawatupia sana lawama Kenya khs Suala la Usalama na Uchaguzi Mkuu wao wa 2027, Vipi sisi Tanzania tuna usalama kiasi hicho?? Ilhali Bado Kuna baadhi makundi ya watu Wana mafundo fundo moyoni na visonono kufuatia vurugu za uchaguzi mkuu za mwaka Jana na masuala kisiasa Kwa ujumla, kama wakiendeleza Tena uko badae? Haitatishia usalama mashindano na wageni upande Tz uku? Na tusipuuze, maana hata kipindi kile Cha Uchaguzi mkuu tulidai Watanzania ni wapole sana, wanasiasa wengine Hadi wakadhihaki kwamba Watanzania ni wajinga na wamelala hawawezi andamana na nywi nywi nywi zingine hazitakuwepo.....
Na nakumbuka Kuna Afcon moja iliwahi fanyika Angola if not mistaken ilifanyikia mwaka 2010 bingwa alikuwa Misri alimfunga Ghana 1-0, Timu ya Taifa ya Togo ya akina Adebayor aliyewahi chezea Arsenal,Mancity na R.Madrid wakiwa wanatoka kambi muda Congo Brazaville kwenda Angola kuanza mashindano wakitumia Usafiri basi walivamiwa na waasi wapiganaji msituni mpakani mwa Angola na DRC Congo na kupelekea wachezaji wao3 kujeruhiwa Vibaya na walisusia wakajitoa mashindano lakini Cha ajabu waliishia wao kupigwa faini na kufungiwa kushiriki mashindano yoyote Afrika Kwa miaka2, Sikumbuki vizuri Kuna kimoja wapo walikatia rufaa Caf...
All in all tuombe mashindano haya ya Afcon 2027 yafanyike uku uku kwetu East Africa tusipokwe, serikali za nchi zote3 ziharakishe hii michakato ya ujenzi viwanja na miundombinu mingine na kuimarisha usalama na hata uchumi nchi na wananchi wake ili wapate pesa ziada kwenda viwanjani(viingilio) Kwani tutapata manufaa kadhaa hata kama sio mengi kama ifuatavyo:-
1)Kuongezea Pesa za kigeni na mzunguko fedha Kwa ujumla kama wageni wakiwa wengi kiasi chake
2)Tutabaki na viwanja vya kisasa vya Mpira miguu na kuwa na mikoa mingi ya kuchezea mechi kubwa za Simba na Yanga, Taifa stars na mechi za Caf km Simba na Al Ahly au Yanga na Mamelodi nk hivyo hata wa mikoani kupata burudani (labda wakose Hela viingilio na hamasa)
3. Ajira za moja Kwa moja na zisizo za moja Kwa moja kama mama ntilie,hoteli,maduka,bar nk
4. Miundombinu ya barabara na hospitali itaboreshwa zaidi na hata kujengwa mpya Kwa baadhi Maeneo japo sio mikoa yote Tz itanufaika Kwa hili..
5. Tutaenda kutangaza Utajiri wa Utalii wa nchi yetu(japo inasemwa unanufaisha watu wachache sana) pia kutangaza Kiswahili chetu na Utamaduni wetu Kwa ujumla.
6. Platform ya Kutangaza Mpira Kitanzania(japo tupunguze ubabaishaji mdogo uliopo) na pia inaweza kuwa platform au C.V tosha ya sisi baadae tukiomba kuandaa Kombe la Dunia ila endapo tutafanikiwa kwenye Afcon 2027. Nk nk nk
 
Back
Top Bottom