Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Zaweza kuwa ni nchi zitazofanikisha sana mashindano haya. Caf wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira . Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania.
Dua zenu tafadhari.
Waarabu wanasema rushwa imehusikaNi rasmi sasa Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa fainali za AFCON 2027.
View attachment 2764026
nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!Ni rasmi sasa Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa fainali za AFCON 2027.
View attachment 2764026
Kwa Tanzania sio kazi sana viwanja tunavyo vingi ni kuviboresha tu.nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
Waarabu wanasema rushwa imehusika
Mambo ni 🔥🔥Mawazo mengine yanafurahisha sana.
Fainali itachezwa wapi kati ya nchi hizo tatu?
nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
Nabomoa nini? Chuki itakuuaAkilu za kuvukia barabara hizi, haujengi, unabomoa
Nabomoa nini? Chuki itakuua
🗑️🗑️Who cares?