Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Itakuwa Lupaso.Fainali itachezwa wapi kati ya nchi hizo tatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa Lupaso.Fainali itachezwa wapi kati ya nchi hizo tatu?
Samia anendelea kuacha alama na Nyota na Nguvu zake kidiplomasia zinaendelea kudhihirika.
Chadema na Sukuma gang Watapinga na kuniita chawa natafuta Uteuzi 😁😁😁
Wa Tabora au?Ukarabatiwe Ali Hassan Mwinyi stadium nao uko njema.
Waarabu waache ujinga
Yeah, ule unauzidi Kirumba kwa mbali. Ni mkubwa wa 2 baadae ya Lupaso.Wa Tabora au?
Hakuna mtu atapeleka mechi huko Kijijini.Yeah, ule unauzidi Kirumba kwa mbali. Ni mkubwa wa 2 baadae ya Lupaso.
Nguvu ya Diplomasia ya Rais Samia 🔥🔥
View: https://twitter.com/NikkiWa111/status/1707000933425524969?t=NlBSZGvEauwDwrLQnihlqw&s=19
Ni Rais wa kizimkazi?Angekuwa na nguvu hizo si angepeleka kizimkazi! Acha kujipendekeza hapa sio kwenye mkutano wa uvccm.
Kwa sasa umefungwa na upo kwenye ukarabati mkubwa wa kuuongezea uwezo na ubora. Ninataraji by then utakua umeshafunguliwa.Zanzibar Kuna uwanja wa kubeba mashabiki wengi?
Ila uwanja wa Amaan ni mojawapo ambapo mechinzitachezwa
Mi sijui,hata hivyo Wananchi wa Tanzania hawajawahi kumpigia kura ya urais mtu unayejaribu kumsifia,sikumbuki.Ni Rais wa kizimkazi?
Kutangwazwa mapema kwa Taifa mwenyeji, Ni kwaajili ya kutoa nafasi kwa Taifa/mataifa kutengeneza au kuboresha miundombinu kama viwanja n.k.nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
Vyovyote ilivyo ndio Rais wenu huyo kawaletea afcon,mliwachagua hoiMi sijui,hata hivyo Wananchi wa Tanzania hawajawahi kumpigia kura ya urais mtu unayejaribu kumsifia,sikumbuki.
Caf ndiyo imeleta Afcon EA baada ya kupokea ombi kutoka katika mashirikisho ya soka ya nchi husika na si mwingine yeyote.Vyovyote ilivyo ndio Rais wenu huyo kawaletea afcon,mliwachagua hoi
Hao chawa mkuu. Lazima usike SSM mara sijui nani xxx anayeidharau katiba iliyomuweka madarakni.Utasikia hongera Samia
Samia anendelea kuacha alama na Nyota na Nguvu zake kidiplomasia zinaendelea kudhihirika.
Chadema na Sukuma gang Watapinga na kuniita chawa natafuta Uteuzi 😁😁😁
Wivuutopolo
Pole 😁😁Caf ndiyo imeleta Afcon EA baada ya kupokea ombi kutoka katika mashirikisho ya soka ya nchi husika na si mwingine yeyote.
Tafuta kazi ya kufanya ukunguni hapa sio mahali pake.
Pole wewe kwa kukosa uteuzi subiri awamu nyingine Maharagwe ya mbeya akitenguliwa.Pole 😁😁