Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
majanga.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza mibangi mkuuKum€£$3&$ zako, wanaku)?&😡:$: kweli wewe. Acha us$::$; mwanaume unakuaje mjinga mjinga hivi
Hiyo passport kuipata?Kwenda Kuishi Kenya huhitaji visa
🙄🙄Hiyo passport kuipata?
Pole wewe kwa kukosa uteuzi subiri awamu nyingine Maharagwe ya mbeya akitenguliwa.
Taifa linatabasamu na furaha kutokana na ushawishi wa Rais samia kufanikisha michuano hii kufanyika Nchini.sawa chawa.
Kabisa mwambie huyoMwanaume kua na tabia kama zako hata haipendezi
Acheni roho za kishetani hizo ndugu yangu.najuwa wengine kama wewe mnaumia kuona serikali ya Rais samia nikipata mafanikio kama haya ,ambayo yataliletea heshima Taifa letu.muda mwingine acha ujinga
Aiseeh.Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kishindoo ,ni shangwe,ni furaha ,ni nderemo , Ni tabasamu,ni vicheko na Raha tupu kwa Taifa la Tanzania na pongezi nyingi kwa Rais samia mama wa shoka ,chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kuwezesha Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano ya Afrika 2027 kwa kushirikiana na nchi za kenya na Uganda. Hii Ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vilivyohitajika hasa kigezo cha usalama na vingine.
Kwa hakika Tanzania ya Rais samia Inaendelea kupata mafanikio kwa kila secta na eneo,kila awekapo mkono Rais Samia ni lazima pafanikiwe,ni lazima pawe na baraka.Rais samia ni ufunguo ufunguao fursa zote na milango yote ya fursa.chini ya uongozi wake tunakwenda kubeba fursa zote zinazopatikana hapa ulimwenguni.kwa kuwa Rais samia ni mtu mwenye mikakati,maono,Dira, ushawishi na malengo.
Ni kiongozi mwenye shabaha ambaye akilenga na kudhamiria jambo ni lazima afanikiwe na kupata ushindi.watanzania na Tanzania tunakwenda kushinda kwa kila kitu na kuibuka washindi kwa kila eneo.huu ni mwanzo tu lakini mazuri yanakuja huko mbele,hii ni rasha rasha tu katika ile mvua kubwa ya mafanikio ijayo mbeleni. Sasa hapa Tutembee kupata mafuriko ya watalii,wawekezaji,kupaa kwa Taifa letu katika anga la michezo, fursa ya kutangaza zaidi vivutio vyetu vya utalii.
Tunakwenda kushuhudia biashara zikifanyika vyema hasa za mahoteli, usafiri,vyakula n.k.Ni fursa ambayo inatupasa kuitumia vyema,ni fursa ambayo wizara hasa za utalii na maliasili. uwekezaji. michezo ,sanaa na utamaduni zinapaswa kuitumia vyema michuano hiyo katika kutengeneza faida za kiuchumi kwa Taifa letu. Kama Taifa tukawe wabunifu sana katika kuitumia vyema michuano hii ambayo inakuwa inafuatiliwa na karibu Dunia nzima.
Tukahakikishe Tunaibuka vinara wa kubeba fursa kupitia michuano hii,. wafanyabishara changamkieni fursa hii na jiandaeni kubeba fursa kwa kushirikiana na serikali yetu,.Kuweni karibu na serikali ili kupata taarifa na msaada mtakapoona mnahitaji msaada wa serikali yenu.
Ni lazima pia kama Taifa tumzawadie Rais samia muhula wa pili wa uongozi ili michuano hii ifaane na kupendeza sana na kufaidika na matunda ya juhudi zake za kuifanya Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano hii mikubwa kabisa barani Afrika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mimi naandika namna Taifa letu litakavyofaidika na michuano hii,kwa hiyo kama unaona huku ni kujipendekeza polee sana ndugu yangu maana utaendelea kuumia sana michuano hiyo itakapoanza hapa nchini.Aiseeh.
Huyu mama akukumbuke usirukwe akili hivi !!
Mbona hatari kwa mtoto wa kiume kujikomba hivi ?!.
@Samiahsuluhu msaidie huyu kijana karibu atavua nguo