Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wewe umeanzisha mada maana nilianzisha heading mods Kwa wivu wakaunganisha 😁😁Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kishindoo ,ni shangwe,ni furaha ,ni nderemo , Ni tabasamu,ni vicheko na Raha tupu kwa Taifa la Tanzania na pongezi nyingi kwa Rais samia mama wa shoka ,chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kuwezesha Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano ya Afrika 2027 kwa kushirikiana na nchi za kenya na Uganda. Hii Ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vilivyohitajika hasa kigezo cha usalama na vingine.
Kwa hakika Tanzania ya Rais samia Inaendelea kupata mafanikio kwa kila secta na eneo,kila awekapo mkono Rais Samia ni lazima pafanikiwe,ni lazima pawe na baraka.Rais samia ni ufunguo ufunguao fursa zote na milango yote ya fursa.chini ya uongozi wake tunakwenda kubeba fursa zote zinazopatikana hapa ulimwenguni.kwa kuwa Rais samia ni mtu mwenye mikakati,maono,Dira, ushawishi na malengo.
Ni kiongozi mwenye shabaha ambaye akilenga na kudhamiria jambo ni lazima afanikiwe na kupata ushindi.watanzania na Tanzania tunakwenda kushinda kwa kila kitu na kuibuka washindi kwa kila eneo.huu ni mwanzo tu lakini mazuri yanakuja huko mbele,hii ni rasha rasha tu katika ile mvua kubwa ya mafanikio ijayo mbeleni. Sasa hapa Tutembee kupata mafuriko ya watalii,wawekezaji,kupaa kwa Taifa letu katika anga la michezo, fursa ya kutangaza zaidi vivutio vyetu vya utalii.
Tunakwenda kushuhudia biashara zikifanyika vyema hasa za mahoteli, usafiri,vyakula n.k.Ni fursa ambayo inatupasa kuitumia vyema,ni fursa ambayo wizara hasa za utalii na maliasili. uwekezaji. michezo ,sanaa na utamaduni zinapaswa kuitumia vyema michuano hiyo katika kutengeneza faida za kiuchumi kwa Taifa letu. Kama Taifa tukawe wabunifu sana katika kuitumia vyema michuano hii ambayo inakuwa inafuatiliwa na karibu Dunia nzima.
Tukahakikishe Tunaibuka vinara wa kubeba fursa kupitia michuano hii,. wafanyabishara changamkieni fursa hii na jiandaeni kubeba fursa kwa kushirikiana na serikali yetu,.Kuweni karibu na serikali ili kupata taarifa na msaada mtakapoona mnahitaji msaada wa serikali yenu.
Ni lazima pia kama Taifa tumzawadie Rais samia muhula wa pili wa uongozi ili michuano hii ifaane na kupendeza sana na kufaidika na matunda ya juhudi zake za kuifanya Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano hii mikubwa kabisa barani Afrika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kwani wewe nani kakuzuia kuja na nyuzi hizo.nitakujaje kulalamika hapa wakati naziona juhudi za serikali yetu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.kwani kwa akili yako unafikiri kuna nchi hapa chini ya jua isiyo na changamoto? Hujasikia hata Marekani kwenyewe wafanyakazi wanafanya Maandamano kutaka waongezewe mishahara?jitu kama lukasimwashamba likipata uongozi ndio linaona kilamtu chiniyake mjinga.litajiona liposahihi kwakila kitu
jituhalijawahi kujana uzi wakulalamikia hudumambovu hatamoja Bali linasifia tuu.
Mkuu, spacing kwenye keyboard yako haifanyi kazi??jitu kama lukasimwashamba likipata uongozi ndio linaona kilamtu chiniyake mjinga.litajiona liposahihi kwakila kitu
jituhalijawahi kujana uzi wakulalamikia hudumambovu hatamoja Bali linasifia tuu.
Hayo ya Kenya hayatuhusu ila Rais wa caf amewashukiru Ruto, Museveni na Samia Kwa presentation nzuri.Hebu katafuteni nukuu yoyote hata ya kichawa " Ruto awezesha Afcon kufanyika Kenya".
Acha wivu wewe hela unazo? 😂😂Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
hainahajamkuukwanihuelewi?Mkuu, spacing kwenye keyboard yako haifanyi kazi??
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uenyekiti wa kijiji hapa na wala uenyekiti wa kijiji haupatikani hapa jukwaani na kama unataka huo uenyekiti basi nenda kagombee huko.
Kuna aina ya uchawa ni ujinga kbs!! Kwann hujaainisha amewezesha kvp? Ainisha jins alivyo play kuwezesha. NB: Ainisha kwa vitendo na kwa ushahid toka CAF na utuambie alitoa tamko kwa wapiga kura ili wachague East Africa?Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kishindoo ,ni shangwe,ni furaha ,ni nderemo , Ni tabasamu,ni vicheko na Raha tupu kwa Taifa la Tanzania na pongezi nyingi kwa Rais samia mama wa shoka ,chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kuwezesha Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano ya Afrika 2027 kwa kushirikiana na nchi za kenya na Uganda. Hii Ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vilivyohitajika hasa kigezo cha usalama na vingine.
Kwa hakika Tanzania ya Rais samia Inaendelea kupata mafanikio kwa kila secta na eneo,kila awekapo mkono Rais Samia ni lazima pafanikiwe,ni lazima pawe na baraka.Rais samia ni ufunguo ufunguao fursa zote na milango yote ya fursa.chini ya uongozi wake tunakwenda kubeba fursa zote zinazopatikana hapa ulimwenguni.kwa kuwa Rais samia ni mtu mwenye mikakati,maono,Dira, ushawishi na malengo.
Ni kiongozi mwenye shabaha ambaye akilenga na kudhamiria jambo ni lazima afanikiwe na kupata ushindi.watanzania na Tanzania tunakwenda kushinda kwa kila kitu na kuibuka washindi kwa kila eneo.huu ni mwanzo tu lakini mazuri yanakuja huko mbele,hii ni rasha rasha tu katika ile mvua kubwa ya mafanikio ijayo mbeleni. Sasa hapa Tutembee kupata mafuriko ya watalii,wawekezaji,kupaa kwa Taifa letu katika anga la michezo, fursa ya kutangaza zaidi vivutio vyetu vya utalii.
Tunakwenda kushuhudia biashara zikifanyika vyema hasa za mahoteli, usafiri,vyakula n.k.Ni fursa ambayo inatupasa kuitumia vyema,ni fursa ambayo wizara hasa za utalii na maliasili. uwekezaji. michezo ,sanaa na utamaduni zinapaswa kuitumia vyema michuano hiyo katika kutengeneza faida za kiuchumi kwa Taifa letu. Kama Taifa tukawe wabunifu sana katika kuitumia vyema michuano hii ambayo inakuwa inafuatiliwa na karibu Dunia nzima.
Tukahakikishe Tunaibuka vinara wa kubeba fursa kupitia michuano hii,. wafanyabishara changamkieni fursa hii na jiandaeni kubeba fursa kwa kushirikiana na serikali yetu,.Kuweni karibu na serikali ili kupata taarifa na msaada mtakapoona mnahitaji msaada wa serikali yenu.
Ni lazima pia kama Taifa tumzawadie Rais samia muhula wa pili wa uongozi ili michuano hii ifaane na kupendeza sana na kufaidika na matunda ya juhudi zake za kuifanya Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano hii mikubwa kabisa barani Afrika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mkuu kwani nani kwakwambia kuwa hela tunatafutia hapa jukwaani? Mimi natafuta pesa kupitia kilimo changu .sasa wewe bweteka ukifikiri jukwaa hili linatoa hela.Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
Ndio mkuuhainahajamkuukwanihuelewi?
I can confirm , Lucas Mwasambwanda ni mnyamaporiNdugu zangu Watanzania,
Ni Kishindoo ,ni shangwe,ni furaha ,ni nderemo , Ni tabasamu,ni vicheko na Raha tupu kwa Taifa la Tanzania na pongezi nyingi kwa Rais samia mama wa shoka ,chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kuwezesha Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano ya Afrika 2027 kwa kushirikiana na nchi za kenya na Uganda. Hii Ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vilivyohitajika hasa kigezo cha usalama na vingine.
Kwa hakika Tanzania ya Rais samia Inaendelea kupata mafanikio kwa kila secta na eneo,kila awekapo mkono Rais Samia ni lazima pafanikiwe,ni lazima pawe na baraka.Rais samia ni ufunguo ufunguao fursa zote na milango yote ya fursa.chini ya uongozi wake tunakwenda kubeba fursa zote zinazopatikana hapa ulimwenguni.kwa kuwa Rais samia ni mtu mwenye mikakati,maono,Dira, ushawishi na malengo.
Ni kiongozi mwenye shabaha ambaye akilenga na kudhamiria jambo ni lazima afanikiwe na kupata ushindi.watanzania na Tanzania tunakwenda kushinda kwa kila kitu na kuibuka washindi kwa kila eneo.huu ni mwanzo tu lakini mazuri yanakuja huko mbele,hii ni rasha rasha tu katika ile mvua kubwa ya mafanikio ijayo mbeleni. Sasa hapa Tutembee kupata mafuriko ya watalii,wawekezaji,kupaa kwa Taifa letu katika anga la michezo, fursa ya kutangaza zaidi vivutio vyetu vya utalii.
Tunakwenda kushuhudia biashara zikifanyika vyema hasa za mahoteli, usafiri,vyakula n.k.Ni fursa ambayo inatupasa kuitumia vyema,ni fursa ambayo wizara hasa za utalii na maliasili. uwekezaji. michezo ,sanaa na utamaduni zinapaswa kuitumia vyema michuano hiyo katika kutengeneza faida za kiuchumi kwa Taifa letu. Kama Taifa tukawe wabunifu sana katika kuitumia vyema michuano hii ambayo inakuwa inafuatiliwa na karibu Dunia nzima.
Tukahakikishe Tunaibuka vinara wa kubeba fursa kupitia michuano hii,. wafanyabishara changamkieni fursa hii na jiandaeni kubeba fursa kwa kushirikiana na serikali yetu,.Kuweni karibu na serikali ili kupata taarifa na msaada mtakapoona mnahitaji msaada wa serikali yenu.
Ni lazima pia kama Taifa tumzawadie Rais samia muhula wa pili wa uongozi ili michuano hii ifaane na kupendeza sana na kufaidika na matunda ya juhudi zake za kuifanya Tanzania kuwa Mwenyeji wa michuano hii mikubwa kabisa barani Afrika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
hainahajamkuukwanihuelewiMkuu, spacing kwenye keyboard yako haifanyi kazi??
po LeNdio mkuu
Ndugu zangu Watanzania,

Ipo cku inakuja hawa machawa wataanza kusifia Rais kwa kuwawezesha watanzania kupata pumzi ya kuishi!!Ndugu zangu Watanzania,

Mbona ni kijana unayeoneka kuwa na akili timamu na unamjua Mungu na Ukuu wake!!??Bila shaka wewe ni wale wenye maombi mabaya kwa Taifa letu.Hata hivyo Giza halijawahi kuishinda Nuru.wewe ni Giza.
Serikali ya Tanzania imewezesha kwa kuwa imeonyesha mpango kazi wake wa namna ya kufanikisha michuano hiyo kwa kuweka miundombinu yote sawa na kuongeza mingine.ndio maana umeona mh Rais wetu kupitia Twitter ametoa maagizo ya ujenzi na ukamilishaji wa viwanja viwili vya kisasa ambapo kimoja kitakuwa Arusha na kingine Dodoma. lakini pia nafahamu unajuwa namna serikali ilivyowekeza mabilioni ya fedha katika kukarabati uwanja wa Benjamini mkapa ili uwe katika viwango bora kabisa vinavyohitajika. Lakini pia suala la usalama nalo pia serikali imehakikisha kuwa kunakuwepo na kuwahakikishia CAF suala hili wakati wote wa michuano hii. Na mengine mengi tu.Kuna aina ya uchawa ni ujinga kbs!! Kwann hujaainisha amewezesha kvp? Ainisha jins alivyo play kuwezesha. NB: Ainisha kwa vitendo na kwa ushahid toka CAF na utuambie alitoa tamko kwa wapiga kura ili wachague East Africa?
🤣🤣hainahajamkuukwanihuelewi
po Le
sa na m
kuu