AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

Kwani wewe nani kakuzuia kuja na nyuzi hizo.nitakujaje kulalamika hapa wakati naziona juhudi za serikali yetu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.kwani kwa akili yako unafikiri kuna nchi hapa chini ya jua isiyo na changamoto? Hujasikia hata Marekani kwenyewe wafanyakazi wanafanya Maandamano kutaka waongezewe mishahara?
kitengo cha propaganda unachokifanyia kazi hakika unakitendea haki. Hii imezidi hata uchawa hadi aibu
 
We jamaa unayetiririsha sifa kedekede za kizandiki umetumwa, huoni kuwa unachepesha mjadala unajadiliwa wewe kwa kumwaga sifa kinafiki? Hata kama unalipwa kwa kufanya propaganda si kwa namna hii umetoka nje ya mstari imekua aibu
 
Viko wapi, vile ambavyo ccm walipora sio viwanja ni majaluba tu sawa na wayolimia misukule.
Ivyoivyo ni kuviboresha tu,Tanzania tuna viwanja vingi sana vya soka tena vingi vipo karibu na mjini vikiboreshwa vitakidhi ubora wanaotaka caf.
 
Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
Washkaji zake aliosoma nao chuo wakiona mchizi wao anavyopamba kutafuta ugali wanabaki kushangaa
 
Ivyoivyo ni kuviboresha tu,Tanzania tuna viwanja vingi sana vya soka tena vingi vipo karibu na mjini vikiboreshwa vitakidhi ubora wanaotaka caf.
Waboreshe kwanza shule kwani nyingi zina hali mbaya sana na zingine wakati wa mvua wanafunzi huruhusiwa kwenda nyumbani kwa sababu mvua ikiwa inanyesha darasa linakuwa kama mko kichakani.
 
Labda angejikita zaidi (100%) kuhakikisha tunapata Nishati (Priority) haya mengine ya AFCON yangekuja tu automatically (We think better bila Moshi wa Mishumaa kwa kukosa Umeme)...

Tumekuwa watu wa Talalila Sana..., Mara Mabasi ya Umeme mara Kupeleka Gesi Ulaya, Mara kutengeneza Satellite ili mradi tu kila siku tunaleta jipya....

By the way ushauri kwa TFF na Wadau (Wekezeni zaidi kwenye Talent na Grassroots haya ya uenyeji wa kuja kupigwa nyumbani na kushindwa hata kuvuka hatua za makundi na kuwa cheerleaders wa wengine Ni bora wengine wakawa wenyeji ila sisi tukafanya vizuri
 
Back
Top Bottom