AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

Huwa sivutiwi na viwanja vya mpira wa miguu vyenye running tracks, vinawaweka mashabiki mbali na wachezaji
Kwa sisi dunia ya 3 uwanja wa kiolimpiki bado unatufaa ni multi purpose.
 
Itategemea na hali ya amani itakavyokuwa baada ya Uchaguzi wa 2025 , vinginevyo michuano hii yaweza kufanyika Uganda na Kenya Tu
Amani haiwezi kutoweka Tanzania,sababu ni kwamba serikali iko imara,wakati vijana wanaotegemewa kuivunja hiyo amani ni waoga sana
 
nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
Kwa Tanzania Viwanja vilivyokubaliwa na CAF ni Mkapa Stadium na Azam Stadium. Tanzania wamepewa muda wa miaka 2 ili wakamilishe ujenzi wa Kiwanja cha Arusha na Kiwanja cha Dodoma. Vilevile Uwanja wa Amaan Zanzibar unafanyiwa ukarabati mkubwa.
 
6742970da5.jpg
 
Miaka miwili ni michache sana kwa Tz ninayoifahamu.
 
Kwa Nini isingeandaa nchi moja?Tanzania Peke yake haijiwezi mpaka kubebana na Kenya na Uganda,Bado tuko nyuma....Cameroon wanatuzidi mbali mpaka wameandaa wenyewe afcon,bado tunasafari ndefu nchi Tatu za EA Ni sawa na au zinazidiwa na nchi moja ya West Africa au North Africa.
 
Itapendeza kama itwaitwa UTAKE AFCON 2027 (UTAKE - Uganda, Tanzania & Kenya).
 
Back
Top Bottom