AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

Kwamba Egypt wao hawajawahi kufanya fitna dhidi ya wengine? Hata nabii Musa anawajua. Yule shemeji yao Issa Hayatou amefanya mangapi kuwabeba na vilabu vyao? Cameroon ikifanya hivyo itakuwa poa sana.

Una lako jambo kwakuwa ni waswahili wenzio utawatetea kwa nguvu zote, na wale ni waarabu.

Kubali tuu, waarabu wanaujuwa mpira, na co watu wa kulalamika
 
Mara kwa mara hizi timu zinapokutana Egypt ndio huibuka mshindi, ktk mechi kumi walizocheza nyuma Egypt wameshinda mara 5 Cameroon wameshinda mara 2 tu na wametoka sare mara 3.

Hivyo Egypt wanabebwa na rekodi lakini tusubiri tuone japo Cameroon wanategemea sana figisu na wameahidiwa kupewa US$ 1.2 milioni sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2.7 za Tanzania kwa kila mchezaji aliyeko kambini. endapo tu watanyakua taji.

Cameroon will pay up to $33.6 million to their 28 players if they are able to win the ultimate title at the 2021 AFCON, according to Accra-based Asempa FM.

The Indomitable Lions have reached the semi-finals but, they must get past record winners Egypt if they are to reach a step closer to the ultimate.

According to Cameroonian journalist Aka Ayamba Ntui on Asempa FM’s SportsNite show, each Cameroonian player was paid up $100,000 for their 2-0 quarter-final victory over Gambia.

“Each Cameroonian player was paid $100,000 for the win over Gambia in the quarter-finals. If you do the calculation, each player will earn up to $1.2 million if Cameroon are able to win the AFCON title,” Ayamba told Enoch Kwasi Worlanyo on SportsNite on Asempa FM.
 
wazeee wenyewe na waanzilishi wa fit in a ni waarabu ngoma nzito hiyo kwa Cameroon
 
Kwa kweli hapa unaweza kufia uwanjani. Hiyo hela ndioumetoka kimaisha
 
Back
Top Bottom