Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

Kila la kheri DR Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
 
Team ilionesha mchezo mzuri sana dhidi ya SA Leo lazima wapate mashabiki na msimu huu lazima waende afcon chini ya nahodha aucho
Good luck Aucho.
Ila naona hii game Congo wanawasaka balaa
 
Umaliziaji shida na hivi kwanini Ethiopia wasicheze hii mechi kwenye uwanja wa abebe Bikila!? Au hauna vigezo!?
Sijajua kwa kweli!!
Kwasababu Yanga game yao itapigwa huko
 
Ila ule uwanja ni mbaya sana na huenda hata game ya Yanga ikahamishwa isipigwe pale caf wako serious sana kwenye suala la viwanja nadhani game italetwa Nambole uganda
images (6).jpeg
 
Picha TU ki uhalisia uwanja mbaya umechoka huwezi kuufananisha hata na azam niliona Simba queens walikuwa wanapata shida sana hasa mvua ikinyesha na Ethiopia kwa Sasa Kuna mvua na baridi kali
Si wamesema Ilitolewa pesa nyingi sana kuufanyia marekebisho
 
Picha TU ki uhalisia uwanja mbaya umechoka huwezi kuufananisha hata na azam niliona Simba queens walikuwa wanapata shida sana hasa mvua ikinyesha na Ethiopia kwa Sasa Kuna mvua na baridi kali
Game ya Yanga ikiletwa Nambole mbona mchekea sana.
Screenshot_20240909-203433~2.png
 
Picha TU ki uhalisia uwanja mbaya umechoka huwezi kuufananisha hata na azam niliona Simba queens walikuwa wanapata shida sana hasa mvua ikinyesha na Ethiopia kwa Sasa Kuna mvua na baridi kali
Ndugu zetu wameweka chuma cha pili
 
Dakika 86'
Uganda 2- 0 Congo Brzvle
 
Back
Top Bottom