AFCON: Shabiki wa Algeria atimuliwa Ivory Coast

Bin Mwamedi punguza upumbavu kama huyo dada yako katika Imaan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hizo chuki zenu zimeshadhihirishwa kitambo na hakika kafiri hawezi ficha chuki zake kamwe
Mimi huwa nakubali kuwa ni Kafiri mla kitimoto

Ila unajua kuwa kuwa Kafiri wa kwanza kama Muasisi wa Ukafiri ni Muhammad (S.A.W)?

Unataka kujua Ukafiri wake? [emoji1787]
 
Huyo ni chizi tu siyo wa kumtilia maanani hana tofauti na wale wanaosema bora kuzaliwa mbwa marekani kuliko kuishi bongo.
 
Huwa wanajifanya wanakandia Wakristo(Makafiri) lakini bado wanajipendekeza kwa haohao Makafiri
wapumbavu tu waarabu wengi ni majnun sana hua nashangaa wanavobehave Vile hapo na uislam umejitahidi kuwastaarabisha je wangekua neutral wangekuaje
 

Hajakosea
Ngoja aje Tanzania pia

Nchi za Africa nyingi ni maskini na hii inatokana na viongozi wa Africa ni walafi

Unakuta kiongoz 1 ana mabilion
Mwenyewe anaona ujanja

Viongoz wa Africa ya kaskazini wapo serious na nchi zao ndio mana ukienda Misir , Algeria , morroco tunisia wapo vizuri sana

Maendeleo yao yanakimbizana na ulaya

Zile ni second world country
 
Kwani ukikiri tu kwamba ukweli unauma utapungukiwa na nin?
 
Wameamua kumsimanga kwa kuunyima ubongo haki ya kuchambua mambo kwa kina.
Mama yupo sahihi, madhaifu machache ktk kauli yake hayaondoi uhalisia wa mawazo yake
 
Waafrika hatupendi ukweli. Kukosolewa tuchukulie ni changamoto za kujirekebisha.

Kusema kweli hata hapa kwetu Tanzania maisha na nchi yetu ilivyo na utajiri, hatukutakiwa tuishi kimasikini.

Kawapa za uso wamekasirika.
 
Hapo juu kuna ntu ameseme Wangembandua kwanza aache dharau, nami narudia hivyo hivyo.
ATAKUWA AMEBANDULIWA TANGIA HAPO! HIYO NGOZI LAINI HAIWEZI KUACHWA IPITE HIVI HIVI WANAJESHI SIYO WAJINGA! NIMETUMIA HERUFI KUBWA KUWEKA MSISITIZO!
 
ATAKUWA AMEBANDULIWA TANGIA HAPO! HIYO NGOZI LAINI HAIWEZI KUACHWA IPITE HIVI HIVI WANAJESHI SIYO WAJINGA! NIMETUMIA HERUFI KUBWA KUWEKA MSISITIZO!
Basi salute, Wanaume hoyee.
 
Mimi huwa nakubali kuwa ni Kafiri mla kitimoto

Ila unajua kuwa kuwa Kafiri wa kwanza kama Muasisi wa Ukafiri ni Muhammad (S.A.W)?

Unataka kujua Ukafiri wake? [emoji1787]
Punga naona umekalia jiti la muhogo kwenye mada

Wewe sio tu kafiri bali ni mshenzi na nyani aliyechangamka..

 
Huyo sofia angekuja Tanzania akashuhudia umasikini na maisha yetu ya kinyumbu nyumbu miaka zaidi ya 60, baada ya uhuru angekata roho kwa kihoro.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hizo chuki zenu zimeshadhihirishwa kitambo na hakika kafiri hawezi ficha chuki zake kamwe
Acha kukariri mawazo tumia akili!
Alshababu, boko haramu, alqaida( na mauaji yake ya September 11, 2001), wale wanaojitoa mhanga kwa kuvaa mabomu, wale wauaji wa kule Msumbiji, nk.
Kwa tabia hizi hata kama akiwa mtoto wako hutampenda( Kwahiyo, kinachochukiwa hapo ni tabia siyo dini).
MBAYA ZAIDI, mnayo tabia ya kulazimisha watu wawe WAISLAMU mkidhani kuwa mpo katika imani sahihi ( Mwache mtu achague Imani anayoitaka Kwasababu HUKUMU ni ya mtu binafsi).
MAMBO AMBAYO hiari hairuhusiwi kutumika ni yale matendo yaliyo machukizo kwa jamii( Hapo matumizi ya nguvu ni muhimu).
 
lile gazeti la marekani liliandika dar ni kijiji cha wavuvi kilichopo pwani ya afrika mashariki, labda walilinganisha na majiji yao wakaona dar ni kijiji tu. Sasa huyu mshabiki wa algeria ana tofauti gani na mtazamo wa morocco kujioni ni nchi ya uarabuni/ulaya? Hizi nchi za kiarabu zilizoko barani afrika zina nyodo za kudharau waafrika wenzao weusi. Sasa wakija kwetu kwenye afcon si ndiyo watahara kama tu ivory coast wanajamba hivyo?
 
Kwahiyo kaongea uongo nchi za waafirika sio masikini hiyo ndo hoja.
 
Duh ..bi mdada kavurumisha mawe.. afrika tujenge nchi zetu jamani wageni wanakuja wanatushangaa..
 
Kwanini asiseme asiwe miongoni mwa nchi za waarabu na siyo ya makafiri Spain?
Waarabu wajinga sana na wanafiki wakikaa huko kwenye vijiwe vya kahawa wanaanza haya makafiri wakati maisha yao 98% wanategemea makafiri ili waishi.
Hapo ulipo mitandao yote unatumia ya makafiri. Huwa nacheka sana mashekh YouTube nao wanahangaika kuweka video walipwe na makafiri😀😀😀😀
Hapo ulipo unawatukana makafiri halafu ukitoka unaweka Qaswida kwenye flash aliyotengeneza makafiri unaweka kwenye sabufa aliyotengeneza makafiri. Ukimaliza unaswali kwa kiarabu unamshukuru Allah unaona makafiri ni watu waliopotea na waliolaaniwa kisha unapanda chombo cha usafiri alichotengeneza makafiri unaenda msikitini, unakaa sakafuni ambayo cement ametengeneza makafiri, ukitoka hapo unachukua simu aliyotengeneza makafiri, unaingia mtandao aliotengeneza makafiri unawatukana makafiri nyie, kisha unaingia YouTube unaangalia video ukitoka, unaenda kuangalia muvi za makafiri Prison Break, jioni unaenda kuangalia mpira wa makafiri Manchester United vs Arsenal😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…