Kwanini asiseme asiwe miongoni mwa nchi za waarabu na siyo ya makafiri Spain?
Waarabu wajinga sana na wanafiki wakikaa huko kwenye vijiwe vya kahawa wanaanza haya makafiri wakati maisha yao 98% wanategemea makafiri ili waishi.
Hapo ulipo mitandao yote unatumia ya makafiri. Huwa nacheka sana mashekh YouTube nao wanahangaika kuweka video walipwe na makafiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ulipo unawatukana makafiri halafu ukitoka unaweka Qaswida kwenye flash aliyotengeneza makafiri unaweka kwenye sabufa aliyotengeneza makafiri. Ukimaliza unaswali kwa kiarabu unamshukuru Allah unaona makafiri ni watu waliopotea na waliolaaniwa kisha unapanda chombo cha usafiri alichotengeneza makafiri unaenda msikitini, unakaa sakafuni ambayo cement ametengeneza makafiri, ukitoka hapo unachukua simu aliyotengeneza makafiri, unaingia mtandao aliotengeneza makafiri unawatukana makafiri nyie, kisha unaingia YouTube unaangalia video ukitoka, unaenda kuangalia muvi za makafiri Prison Break, jioni unaenda kuangalia mpira wa makafiri Manchester United vs Arsenal[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]