Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hapa tunatoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira huu jamani...Mkia unatuhusu. Hata pointi moja hatupati mama yangu balaa
Mh sijui kama tutachomoka hapa. Namwona Morocco akiongoza kundi Zambia akifuatia na DR Congo akiwa na point mbili sisi tukitoka na moja.Tanzania group F
Opponents
1. Zambia
2. DR Congo
3. Morocco
Ha mkuu Croatia imekuwa vizuri enzi na enzi. Usilinganishe mafanikio ya Croatia ni ya muda mfupi mkuu. Mpira no sayansi na sayansi inajengwa kwa muda. Tanzania still has a long way to goMpira huu jamani...
Croatia alifika final World Cup 2018 ikumbukwe...
Naona hakuna kundi la kifo. Kila kundi Lina m babe mmoja au wawili na vibondeWanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
---
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini Ivory Coast na kushirikisha timu 24
Makundi yapo kama ifuatavyo
GROUP A
Ivory cost
Nigeria
Gunea equatorial
Guinea bisau
GROUP B
Egypt
Ghana
Cape verde
Mozambique
GROUP C
Senegal
Cameroon
Guniea
Gambia
GROUP D
Algeria
Bukinafaso
Mauritania
Angola
GROUP E
Tunisia
Mali
South africa
Namibia
GROUP F
Morocco
DRC
Zambia
Tanzania
Itakuwa maza wake kamnunulia, jamaa hana kitu kabisaHilo suti la Hakimi siyo mchezo
Croatia tangu France 98 anafika nusu fainali World cupMpira huu jamani...
Croatia alifika final World Cup 2018 ikumbukwe...
Hakuna hata timu moja ya kutoa drawHapa tunatoboa
D na E ndo asavali.Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
---
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini Ivory Coast na kushirikisha timu 24
Makundi yapo kama ifuatavyo
GROUP A
Ivory cost
Nigeria
Gunea equatorial
Guinea bisau
GROUP B
Egypt
Ghana
Cape verde
Mozambique
GROUP C
Senegal
Cameroon
Guniea
Gambia
GROUP D
Algeria
Bukinafaso
Mauritania
Angola
GROUP E
Tunisia
Mali
South africa
Namibia
GROUP F
Morocco
DRC
Zambia
Tanzania
Hivi tulifikaje huku😂😂😂Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
Sawa huwezi linganisha Tanzania na Croatia, ila katika historia ya mpira Croatia haijawahi kuwa na historia kubwa kupita mataifa ya argentina, Brazil, Italy, Spain, England Belgium, na mataifa mengine makubwa.Ha mkuu Croatia imekuwa vizuri enzi na enzi. Usilinganishe mafanikio ya Croatia ni ya muda mfupi mkuu. Mpira no sayansi na sayansi inajengwa kwa muda. Tanzania still has a long way to go
hakuna mechi tutakayopata point 3 hapo mkuu.Tutapata ushindi kwa Wacongo na draw kwa Zambia kwa Morocco tutachezea kichapo