Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hatuogopi mtu....Wasije kutupangia na kina Morocco tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuogopi mtu....Wasije kutupangia na kina Morocco tu
Sawa huwezi linganisha Tanzania na Croatia, ila katika historia ya mpira Croatia haijawahi kuwa na historia kubwa kupita mataifa ya argentina, Brazil, Italy, Spain, England Belgium, na mataifa mengine makubwa.Ha mkuu Croatia imekuwa vizuri enzi na enzi. Usilinganishe mafanikio ya Croatia ni ya muda mfupi mkuu. Mpira no sayansi na sayansi inajengwa kwa muda. Tanzania still has a long way to go
Itapata zaidi ya hizo na itavuka kabisa.Hivi Tanzania hapa Itapata hata point 1 kweli? [emoji1]
Hahahaaa!Wasije kutupangia na kina Morocco tu
Mdomo una umbaWasije kutupangia na kina Morocco tu
Sawa tunaweza ndio kina George mpole kweli?Sawa huwezi linganisha Tanzania na Croatia, ila katika historia ya mpira Croatia haijawahi kuwa na historia kubwa kupita mataifa ya argentina, Brazil, Italy, Spain, England Belgium, na mataifa mengine makubwa.
Sometimes mpira unachezwa na mentality ya viongozi na wachezaji pamoja na taifa zima kwa ujumla kitu ambacho kinajenga spirit ya wachezaji, ukitizama Croatia ni taifa lenye wachezaji wanaotizamiwa wa viwango vikubwa vya wastani katika ulimwengu wa soka na ni taifa underdog mbele ya magiant nations za kwenye World Cup, kinachoipatia ubora Croatia ni spirit yao ya kulipambania taifa lao ukiangalia mechi zao wachezaji wao wanajitoa wanapambana kwa moyo wote kwaajili ya taifa lao.
Tanzania nayo inaweza kwani kulikuwa na timu bora kuipita Uganda kwa ukanda wa East Africa? Wako wapi leo na Tanzania ipo wapi?
Kuna muda inabidi tukubali kuwa tunaweza na tuache kujidharau, kikubwa tulipende Taifa letu na tuwe na moyo wa kizalendo tusapport timu yetu na sisi, tuache kujiaminisha mambo ya kizamani.
Mpira sio hivyo mnavyoutizama, mpira sio draft kwamba anaejua hafungwi, mpira ni mchezo wa ajabu sana lolote linawezekana kwasababu mpira unadunda.
Tulivyocgeza na Algeria kuna watanzania waliosema tuliachiwa, yani watu hawaipendi timu yao na kukubali maendeleo ya timu ya taifa.
Naiamini Taifa stars na naipenda Tanzania wacha tukafanye wonderful, nyie watanzani waarabu msitukatishe
Ulijuaje?Wasije kutupangia na kina Morocco tu
Hili kundi F ni jepesi sana kwa Tanzania. Ila cha kushangaza itashika mkia kwenye kundi lao, kama linavyo onekana.Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
---
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini Ivory Coast na kushirikisha timu 24
Makundi yapo kama ifuatavyo
GROUP A
Ivory cost
Nigeria
Gunea equatorial
Guinea bisau
GROUP B
Egypt
Ghana
Cape verde
Mozambique
GROUP C
Senegal
Cameroon
Guniea
Gambia
GROUP D
Algeria
Bukinafaso
Mauritania
Angola
GROUP E
Tunisia
Mali
South africa
Namibia
GROUP F
Morocco
DRC
Zambia
Tanzania
Kanuni bora ya mafanikio inakuambia ili ukomae lazma ukutane na big challenges na waliofanikiwa ni wale walioweza kuzikabili na kubuni njia za kuzikabili changamoto,Sawa tunaweza ndio kina George mpole kweli?
Tutapata ushindi kwa Wacongo na draw kwa Zambia kwa Morocco tutachezea kichapo
Ukimya huwa na mshindo mkuu...Kanuni bora ya mafanikio inakuambia ili ukomae lazma ukutane na big challenges na waliofanikiwa ni wale walioweza kuzikabili na kubuni njia za kuzikabili changamoto,
Shujaa huesabiwa kwa kuvishinda vita vigumu, nahodha mahiri wa meli hapimwi kwenye bahari tulivu.
Uoga ndy mama wa umaskini na kufeli katika kila jambo.
We are undermined but we can do something.
Haikuaminiwa kama tungefika hatua hii na pia hatuaminiwi pia kama tutatoboa, sisi ndy Tanzania watoto wa kambarage na wa Nyerere. Tunakwenda tutarudi na kitu huko:
Maneno mengi kumbe Pumba tu, Ubelgiji amemzidi nn Croatia kihistoria kwenye mafanikio ya soka!?Sawa huwezi linganisha Tanzania na Croatia, ila katika historia ya mpira Croatia haijawahi kuwa na historia kubwa kupita mataifa ya argentina, Brazil, Italy, Spain, England Belgium, na mataifa mengine makubwa.
Sometimes mpira unachezwa na mentality ya viongozi na wachezaji pamoja na taifa zima kwa ujumla kitu ambacho kinajenga spirit ya wachezaji, ukitizama Croatia ni taifa lenye wachezaji wanaotizamiwa wa viwango vikubwa vya wastani katika ulimwengu wa soka na ni taifa underdog mbele ya magiant nations za kwenye World Cup, kinachoipatia ubora Croatia ni spirit yao ya kulipambania taifa lao ukiangalia mechi zao wachezaji wao wanajitoa wanapambana kwa moyo wote kwaajili ya taifa lao.
Tanzania nayo inaweza kwani kulikuwa na timu bora kuipita Uganda kwa ukanda wa East Africa? Wako wapi leo na Tanzania ipo wapi?
Kuna muda inabidi tukubali kuwa tunaweza na tuache kujidharau, kikubwa tulipende Taifa letu na tuwe na moyo wa kizalendo tusapport timu yetu na sisi, tuache kujiaminisha mambo ya kizamani.
Mpira sio hivyo mnavyoutizama, mpira sio draft kwamba anaejua hafungwi, mpira ni mchezo wa ajabu sana lolote linawezekana kwasababu mpira unadunda.
Tulivyocgeza na Algeria kuna watanzania waliosema tuliachiwa, yani watu hawaipendi timu yao na kukubali maendeleo ya timu ya taifa.
Naiamini Taifa stars na naipenda Tanzania wacha tukafanye wonderful, nyie watanzani waarabu msitukatishe
Nilisema Mimi watatupanga Morocco mmeona sasa?Wasije kutupangia na kina Morocco tu
Ndio mkuu lolote linawezekana kabisaUlijuaje?
Ndio tupo nao sasa, ila me naona kua kundi letu ni jepesi sana, tukikaza makalio tunaweza tukaendelea na hatua zifuatazo.
design kama CAF wamenisikiaMdomo una umba