sio abdul seleman kweli?Ngoja nitafute majina yao najua ntalikumbuka tu..ama kama unaweza angalia sub zilizofanyika Jana,aliyeingia badala ya dogo Ni somebody makame!!
Abdul seleman jez no 9
No live itarushwa kupitia ss EA na SELECT 1Halafu DSTV (SSP9)wametufanyia kitu kibaya Mechi yetu leo na Niger wataonyesha recorded saa 2230hrs.Live wanaonyesha Mali vs Angola 2030hrs EAT.So wenye King'amuzi cha Azam ni ku-tune ZBC.Mungu ibariki Tanzania
Mechi saa mbili na nusu usiku zbc2 wapo liveMechi saa 2 narobo au tatu ma robo
Mechi bado haijaanzaUpdate za mechi tafadhali
Hawa ni wehuuu ssa kumpima nn huko ni kumtoa dogo kwenye moodWinga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisa wa CAF na kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.
Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!
Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.
[HASHTAG]#GabonMpakaKombelaDunia[/HASHTAG]
.