AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Vijana wanaimba wimbo wa Taifa
 
Game ya Tanzania vs Mali imeanza. DKK ya 3.
 
Hawa Mali ndio bingwa mtetezi wa mashindano.
 
Naftal (20) mjanja. Ametulia. Mashambulizi golini kwetu.
 
Beki wa kulia wa Serengeti Boys ni uchochoro,Mali wanapita upande wake
 
Dakika ya 24
Mali 0 Tanzania 0
 
Mbona hawa vijana wazito sana..... Wanaogopa nini? Au maelekezo yalikuwa mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…