AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Kila la kheri vijana wetu na Mungu ibariki sana Tanzania
 
Hatuna shabiki hata mmoja mwenye bendera ya Tanzania?
 
Dakika ya 74
Mali 0 Tanzania 0
 
Dakika ya 84
Mali 0 Tanzania 0
 
Katika sub 3 tulizofanya 2 ni wachezaji wameumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…