Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yea. Ile sub imesaidia.Kipindi cha pili naona vijana wamerejea vizuri.
mkuu si unajua hata wao wameenda enda huko kwa michangoHatuna shabiki hata mmoja mwenye bendera ya Tanzania?
Mbona kama inazingua ama kwangu tu!kama una una mobdro apk cheki na being in sports 8 wako live
Wa kwetu wameenda ulaya. Mali wanaishi ulaya na wanatrain ulayaJamani hawa mali watatuua.. yaani vijana wetu waoga sana wakati nilisikia wameenda mpaka ulaya..
inazingua nimejaribu kuinstall but hamna chochoteMbona kama inazingua ama kwangu tu!