Ila defence ya serengeti sio ya nchii hii mwingine angesha kula nyingi mno... Wako smart kwakweli
0-0 dakika 90Matokeo vp?
`madogo wanastahili pongezi .Ndo mara yao ya kwanza kwenye michuano hii. Uzoefu pia umechangiaDakika zilizobakia hata kuku hawezi kumeza punje ya mtama