AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Dakika zilizobakia hata kuku hawezi kumeza punje ya mtama
 
Hawa Mali ni wazuri sana, ni hatari kweli kweli.
 
Hongera sana kwa Serengeti Boy's

1.Defence kuanzia Kipa na mabeki wanacheza kwa kushirikiana na kujiamini sana

2.Game plan ya kocha ilikuwa kuzuia tusifungwe naamini mechi ijayo atabadilisha tucheze mfumo wa kushambulia
 
Back
Top Bottom