Tatizo la watanzania kusoma huwa ni shida soma vizuri hiyo comment hy ni match ya Nigeria v Mali ndo saa 2.15 uckuAaaaah! masiala sasa saa 2 usiku tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la watanzania kusoma huwa ni shida soma vizuri hiyo comment hy ni match ya Nigeria v Mali ndo saa 2.15 uckuAaaaah! masiala sasa saa 2 usiku tena?
Asante mkuu
BravoSerengeti 1 Angola 0
leteni matokeo
Tayar tunaongoza 1 DKK ya 6Hivi game la serengeti yetu leo saa ngapi lituliwaze
Limerud[emoji21]Tayar tunaongoza 1 DKK ya 6
1. 1Dk ya 6 tunaongoza kwa bao 1-0
Vile vitoto vya Ghana vinakimbiza balaa!tukikutana navyo lazima tuvishughulikie kwa kuvivunga magori ma nne kipindi cha kwanza vichanganyikiwe kabisa