ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Yaaani wewe...Eti kwa Umri wake Kwani haya ni mashindano Gani si under 17 ssa wapi watacheza dakika 90 miaka 20 auKuna dogo mmoja wa Serengeti boys aliingia baadae akatoka alibanwa misuli,yule dogo anajua mpira kuliko wachezaji wrote kwenye hayo mashindano,kwa bahati mbaya kwa umri wake hawezi kuchza dk zote 90..anamiaka 15 tu!